Baada ya hapo sharifu majini aliongea na wandishi wa habari alisema
kua mimi nafanya haya yote kwa ajili ya
kuwasaidia wananchi waweze kufanya kazi zao wakiwa na afya kamili pia na kuleta
maendeleo ya taifa
Wananchi nao walishukuru msaada wa sheikh sharifu majini walitumia nafasi hiyo kumuomba Rais kumunga mkono na kuangalia mchango wa sheikhe huyo anaefanya juhudi ya kulipeleka taifa mbali na magojwa ya kijini
No comments:
Post a Comment