• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 26 January 2017

    ZIARA YA MAJALIWA LUDEWA

    DEWA
    DEWAWananchi wa kijiji cha Lusitu wilayani Ludewa  wakilizuia gari la    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakimtaka  asimame na kuwasalimia alipokuwa akienda mjini Ludewa kutoka mgodi wa chuma wa Liganga Januari 26, 2017. Mheshimiwa majliwa alisimama na kuwahutubia.
    DEWA 2DEWA 1 
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Lusitu wilayani Ludewa walioziba barabara  wakitaka asimame na kuwasalimia alipokuwa akitoka kwenye mgodi wa chuma wa Liganga kwenda mjini Ludewa Januari 26, 2017. 
     DEWA 3
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Halmashauri, mjini Ludewa Januari 26, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI