Kaimu
Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Agnes Kuhenga akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati
wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wanne wa Taasisi hiyo ambapo watatu
kati yao wanahamia Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma na mmoja anahamia Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea na
wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi
wanne wa Taasisi hiyo ambapo watatu kati yao wanahamia Hospitali ya
Benjamini Mkapa iliyopo Dodoma na mmoja anahamia Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Viongozi
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja
na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wanaohamia katika Hospitali ya Benjamin
Mkapa iliyopo Dodoma na Hospitali ya kufundishia
ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi
ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaammara baada ya kumalizika kwa hafla
fupi ya kuwaaga wafanyakazi hao iliyofanyika leo.
Baadhi ya Maafisa Wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na wenzao wawili wanaohamia katika Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo Dodoma na Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti
cha shukurani ya kufanya kazi katika Taasisi hiyo Daktari Bingwa wa
Magonjwa ya Moyo Robert Mvungi ambaye anahamia katika Hospitali ya
Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti
cha shukurani ya kufanya kazi katika Taasisi hiyo Afisa Muuguzi Mkuu
Salome Kassanga ambaye anahamia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment