Tamko kutoka Tanzania sarawi soridarity committee (TASSC) ya kuwa tumesikitishwa sana kitendo cha morocco kuendelea kuikalia nchi ya sahara magharibi kimabavu. Licha ya uamuzi huo kihistoria uliotolewa na mahakama ya kimataifa (internation court of justice -ICJ) Kwenye hukumu yake ya mwaka 1975 kwamba kinyume na madai ya morocco hakuna mausiano yoyote yale ya kihistoria na ya kisheria baina ya sahara magharibi na moroco inayonyima sahara magharibi haki ya kujitawala yenyewe
Pamoja na hayo Alphonce Lusako Mratibu wa haki za Binadamu amemtaka Rais magufuli kufikisha ujumbe kwa mfalme wa morocco kuhusu dhulma anayoifanya kwa sahara ya magharibi
Vijana walisema sisi ni ndugu zenu kutoka tanzania tutaendelea kuwaunga mkono kama alivyofanya baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere na viongozi waliofuatia tutahakikisha sahara ya magharibi mtakuwa huru
..
Saturday 22 October 2016
Breaking News
No comments:
Post a Comment