Habari DK. KIGWANGALLA AELEZA HATMA YA WAVAMIZI KATIKA HIFADHI YA BONDE LA MTO KILOMBERO Z4 MEDIA 06:17 Read more No comments:
Habari SERIKALI KUZIFIKIA KAYA ZOTE MASIKINI NCHINI Z4 MEDIA 06:14 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuch... Read more No comments:
Habari Z4 MEDIA 06:08Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera na Uratibu Profesa Faustin Kamuzora ameongoa kikao cha Siku moja cha Baraza la Usim... Read more No comments:
Michezo Arsenal yavunja rekodi yake Z4 MEDIA 06:07 Klabu ya soka ya Arsenal hatimaye imevunja rekodi yake ya usajili baada ya kutumia kiasi cha £ 56 milioni (Bilioni 156) kukamilisha usa... Read more No comments:
Habari Watanzania waombwa kumuombea Mzee Majuto Z4 MEDIA 06:04 Mke wa Mzee Majuto ambaye anafahamika kwa jina la Aisha Mbwana amefunguka na kuwaomba Watanzania waendelee kumuombe Mzee Majuto ili aw... Read more No comments:
Michezo Ozil naye akubaliana na Arsenal Z4 MEDIA 06:03 Winga wa Ujerumani Mesut Ozil amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na nusu kuendelea kubaki Arsenal mpaka mwezi Juni 2021. ... Read more No comments:
Habari Magufuli aihaidi bilioni 10 idara ya uhamiaji Z4 MEDIA 06:01 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kutoa pesa za kitanzania jumla ya Bilioni 10 Kwa Idara ya U... Read more No comments:
Habari "Nilimtabiria Rais Magufuli"- Majuto Z4 MEDIA 05:55 Msanii mkongwe wa filamu za bongo, Mzee Majuto amefunguka na kudai yeye ndio mtu wa kwanza kutabiri ujio wa Rais Magufuli katika kuongo... Read more No comments:
Habari Chadema wagundua dawa ya muhuni Z4 MEDIA 05:53 Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema, BAVICHA, Patrick Ole- Sosopi amekiri kuwa Chama chake kimeamua kurudi kwenye uchaguzi mdogo has... Read more No comments:
Habari Wanamitindo wa Tanzania wameungana na kuanzisha chama chao ili kuendeleza na kukuza maslahi ya sekta ya mitindo nchini. Z4 MEDIA 04:07 Na Stahmil Mohamed Wanamitindo wa Tanzania wameungana na kuanzisha chama chao ili kuendeleza na kukuza maslahi ya sekta ya mitindo nc... Read more No comments:
Habari WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AREJEA NYUMBANI KUTOKA ADIS ABABA ETHIOPIA Z4 MEDIA 06:35 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim, kwenye Hoteli ya Radisson Blue, mjini... Read more No comments:
Michezo Azam FC yatoa onyo kali Z4 MEDIA 06:30 Katika mwendelezo wa michuano ya kombe la shirikisho klabu ya Azam FC, imetoa kipigo kikubwa cha mabao 5-0 dhidi ya timu ya Shupavu FC ... Read more No comments:
Michezo Neymar amuumiza kichwa Rais Z4 MEDIA 06:29 Nyota wa klabu ya Paris Saint Germain Neymar jr ameendelea kuwa kwenye tetesi kubwa za kurudi nchini Hispania na Rais wa La Liga Javier... Read more No comments:
Habari serikali haina mpango wa kurejesha sarafu ndogo Z4 MEDIA 06:26 Serikali ya Tanzania imesema haina mpango wa kurejesha fedha za sarafu ndogo kuanzia senti tano hadi shilingi 20 katika mzunguko wa fed... Read more No comments:
Habari Muswada wa sheria wapitishwa bungeni Z4 MEDIA 06:18 Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 5 ya mwaka 2017 zikiwamo mbili kati ya nne zil... Read more No comments:
Habari Namuachia Mungu anajua fungu lao" - Wastara Z4 MEDIA 06:08 Msanii wa filamu nchini Wastara Juma Sajuki ambaye sasa anasumbuliwa na maumivu ya mguu na mgongo amefunguka na kusema kuwa watu ambao ... Read more No comments:
WANAWAKE WAASWA KUJIAMINI Z4 MEDIA 05:30 Na Stahmil mohamed Wanawake wametakiwa kujiamini,kuongeza ubunifu katika biashara zao ili kufikia malengo mbalimbali wali... Read more No comments:
Ang'oa paa la nyumba kumfukuza mkewe Z4 MEDIA 08:35 Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la David Kinyua mkazi wa Gichiche nchini Kenya ameng'oa mabati ya nyumba anayoishi mke wake a... Read more No comments:
Habari Slaa atua Dar, akutana na Rais Magufuli Z4 MEDIA 08:33 Rais John Magufuli amempongeza Balozi mteule Dkt. Wilbrod Slaa kwa moyo wake wa kizalendo wa kukubali kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanza... Read more No comments:
Habari Wafungisha ndoa nchini waonywa Z4 MEDIA 08:32 Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini nchini RITA, imesema, ndoa zote zilizofungwa bila kuzingatia sheria ya ndoa ikiwemo viongozi wa ... Read more No comments:
Habari Akamatwa na mitambo minne ya gongo Z4 MEDIA 08:31 Jeshi la Polisi mkoani Manyara limesema limekamata mitambo ya kutengenezea pombe haramu ya gongo pamoja na lita 85 za pombe hiyo, amba... Read more No comments:
Habari Ofisi ya takwimu taifa yatoa elimu kwa wananchi Z4 MEDIA 07:05Ofisi ya takwimu ya taifa imesema kuwa inajukumu la kuhakikisha takwimu zinazozalishwa katika vyanzo vya takwimu zinakidhi kanuni stahiki il... Read more No comments:
Habari CHOZI LA MAKONDA HALITAWAACHA MATAPELI SALAMA Z4 MEDIA 10:16 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kutoa pole kwa Familia ya Wastaafu ya Bwana Edward Bejumula na Bi.... Read more No comments:
Habari ''Kwa hili CHADEMA mnajisumbua'' Z4 MEDIA 09:36 Mbunge wa Iramba Magharibi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema atawashangaa sana kuona wananchi wa jimbo la Ki... Read more No comments:
Habari Lowassa Amrushia madongo Mtulia Z4 MEDIA 08:23 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amefunguka na kuwataka wanachama na viongozi wa CHADEMA kuacha kumtaja taja mgombea Ubunge wa ... Read more No comments:
Habari CHADEMA ndio shetani wetu"- Wasira Z4 MEDIA 08:10 Mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika katika serikali ya awamu ya nne na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taif... Read more No comments:
Breaking News Watumishi 58 wakufukuzwa kazi Z4 MEDIA 05:54 Halmashauri ya mji wa Mbinga mkoani Ruvuma imewafukuza kazi watumishi wake 58 kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi vyeti vya kidato ... Read more No comments:
Habari WAZIRI UMMY MWALIMU AENDELEA NA ZIARA KANDA YA ZIWA Z4 MEDIA 05:48 Waziri Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akikagua huduma za afya kwenye kitu... Read more No comments:
Habari ZIARA YA NAIBU WAZIRI MASAUNI KUKAGUA MAKAZI YA ASKARI NA MAENEO YA POLISI WALIYOUZIWA WANANCHI KINYUME NA UTARATIBU MKOA WA KUSINI UNGUJA Z4 MEDIA 05:44 Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akimuuliza maswali Mhandisi wa Jeshi la Polisi... Read more No comments:
MITANDAO YA KIJAMII
MAONI