• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 10 November 2016

    MATUKIO ZAIDI YA PICHA WAKATI RAIS DK. MAGUFULI ALIPOONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU JOSEPH MUNGAI

    ombo
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza waombolezaji katika hafla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Pamoja naye ni Rais Mstaafu Mze Benjamin Mkapa, Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Mama Salma Kikwete leo Novemba 10, 2016 PICHA NA IKULU
    pole1
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Kaka wa marehemu baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa  mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016
    pole2
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji mjane wa  marehemu baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa  mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016
    pole3
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji mtoto wa  marehemu, Jimmy Mungai,  baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa  mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016
    pole4
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji mtoto wa marehemu William Mungai marehemu baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa  mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016
    pole5
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wanafamilia baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa  mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016
    pole6
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wanafamilia baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa  mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016
    pole7 pole8 pole9
    Sehemu ya familia ya aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika hafla ya kuuaga mwili wa marehemy katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam  leo Novemba 10, 2016

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI