• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 10 November 2016

    DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA NORWAY

    a1
    a1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Nchini Norway  Bw.Eivind  Hansen,Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland akiwa na ujumbe aliofutana nao walipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
    a2
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe kutoka Nchini Norway ukiongozwa na  Bw.Eivind  Hansen, Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland (wa pili kulia)  walipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
    a3
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Nchini Norway  Bw.Eivind  Hansen,Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland akiwa na ujumbe aliofutana nao walipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
    a4
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dk.Hallvard Reigstad, Mkuu wa Idara ya Watoto kutoka Hospitali ya  Haukeland  Nchini Norway akiwa ni miongoni mwa Ujumbe kutoka Nchini Norway uliofika Ikulu Mjini Unguja leo .
    [Picha na Ikulu.] 10/11/2016

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI