Afisa mradi wa TEACHERS JUNCTION amewata walimu wa shule za msingi na sekondari kujiunga na kituo hicho ili kuboresha elimu zao kwa vitendo na kupata ajira kwa haraka.
Akizungumza na z4news afisa Mradi wa Taasisi hiyo Salum Njama amesema asilimia kubwa ya walimu wanachangamoto kubwa wanapo toka vyuoni wanakumbwa na tatizo la ajira ili kukabiliana na Changamoto hiyo amewataka walimu kujiunga na kituo hicho kwa manufa yao pia kuifanya kazi ya ualimu kua na thamani ''alisema .
Changamoto kubwa inayowakabili walimu ni upande wa ajira Teachers Junction inatoa fursa ya mafunzo kwa vitendo kwa walimu tunaomba wajitokeze kujiunga na kituo hichi kitawapa fursa kubwa kwa upande wa ajira ''alisema Salum Njama.
"Kwa upande mwengine Salum Njama ameishauri Serikali kutengeneza usimamizi mzuri kwa Taasisi zinazoendesha mafunzo ya ualimu kwani nyingi zimekuwa
zikifanya biashara bila kungalia ni aina gani ya Mwalimu anatengenezwa .
KWA MAWASILIANO ZAIDI YA OFICE ZA TEACHERS JUNCTION 0713-810-857
..

Thursday, 12 January 2017
Habari
No comments:
Post a Comment