Watu wawili wanaripotiwa kufariki
wakati wakibatizwa siku ya Jumapili, kwenye mto ulio eneo la Rombo mkoa
wa Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania.Walizama maji katika mto Ungwasi wakati walikuwa wakizamishwa baada ya kile kinachotajwa kwa kulemewa na mawimbi makali ya mto huo.
- Wachafuzi mazingira kukiona Tanzania
- Utalii Tanzania wazidi kuimarika
- Miss Tanzania aliyejitolea kukabili ukeketaji
Polisi baadaye waliitwa kuondoa maiti baada ya ajali hiyo.
Naibu kamanda wa polisi aliiambia BBC kuwa waumini wa kanisa akiwemo pia mhubiri wamezuiliwa ili kuhojiwa
No comments:
Post a Comment