• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 30 August 2016

    PEMBA:Kamati ya Ulinzi na Usalama ChakeChake yakagua mtaro wa maji machafu

     Mtaalamu wa Mazingira kutoka Idara ya Mazingira Pemba, Abuu Jafar, akitowa maelezo kwa mkuu wa Wilaya ya Chake Chake, Salama Mbarouk Khatib, na Kamati ya ulinzi ya Usalama ya Wilaya hiyo juu ya mtaro huo unavyotakiwa usafishwe 


      Mtaalamu wa Mazingira kutoka Idara ya Mazingira Pemba, Abuu Jafar, akitowa maelezo kwa mkuu wa Wilaya ya Chake Chake , Salama Mbarouk Khatib, na Kamati ya ulinzi ya Usalama ya Wilaya hiyo juu ya mtaro huo unavyotakiwa usafishwe 
     Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake , Salama Mbarouk Khatib, na Kamati ya ulinzi ya Usalama ya Wilaya hiyo wakiangalia eneo la mtaro linalohitajika kusafishwa
     Maji machafu ambayo hayana udhibiti , yanayotoka katika maeneo ya makaazi ya Wananchi wa Kichungwani na kutiririka hadi kwenye mtaro mkuu , jambo ambalo linaweza kuleta athari ya kiafya hapo baadae.


     Maji machafu ambayo hayana udhibiti , yanayotoka katika maeneo ya makaazi ya Wananchi wa Kichungwani na kutiririka hadi kwenye mtaro mkuu , jambo ambalo linaweza kuleta athari ya kiafya hapo baadae

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI