• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 30 August 2016

    Uganda na Kenya zapendwa na wataalam Afrika


    Uganda ndilo taifa linalopendwa sana na wataalam Afrika
    Image captionUganda ndilo taifa linalopendwa sana na wataalam Afrika
    Orodha ya maeneo mazuri na mabaya ya kuishi kwa wataalam imetolewa, na Uganda imeorodheshwa kama taifa linalopendelewa sana barani Afrika.
    Taifa hilo limeorodheshwa nambari 25 duniani ,kulingana na utafiti uliochapshwa na Expat Insider.
    Orodha hiyo ni kulingana na
    • Eneo lililo rahisi kuishi.
    • Kujifunza lugha inayotumiwa na wakaazi.
    • Na maisha ya kifamilia.
    Kenya imeorodheshwa ya Pili Barani Afrika na ya 46 duniani.
    Taifa la Nigeria limeorodheshwa la mwisho kutokana na hali ya maisha na gharama ya kuishi lakini limeonekana kuimarika ikilinganishwa na mwaka uliopita

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI