• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 26 August 2016

    Update: Majambazi Kadhaa Yauawa Katika Mapigano na Jeshi la Polisi huko Mkuranga


    SeeBait
    Majambazi ambao idadi yao haijajulikana wanadaiwa kuuwawa katika mapigano hayo kati yao na polisi huko Vikindu, wilaya ya Mkuranga leo.
     
    Milio ya risasi na mabomu vilisikika kuanzia saa saba usiku katika eneo hilo ambalo majambazi hayo walikuwa wamejificha.
     
    Habari zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Polisi wameweka kizuizi cha barabara eneo la Kongowe, wilayani Mkuranga ambapo  magari yote yanayotoka na kuingia Dar yanapekuliwa.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI