• Breaking News

    ..

    ..

    Saturday, 20 August 2016

    Uturuki yakubali mapatano na Israel



    Uhusiano baina ya Uturuki na Israel ulivunjika miaka sita iliyopitaImage copyrightGETTY IMAGES
    Image captionUhusiano baina ya Uturuki na Israel ulivunjika miaka sita iliyopita
    Bunge la Uturuki, limekubali mapatano yaliyotiwa saini na Israel mwezi Juni.
    Uhusiano baina ya Uturuki na Israel ulivunjika miaka sita iliyopita, pale makamando wa Israel, walipowauwa wanaharakati 10, waliokuwa ndani ya meli ya Uturuki, iliyokuwa ikielekea Gaza ikiwa na shehena ya msaada.
    Kufuatana na makubaliano hayo, Israel italipa fidia ya dola milioni 20, na miradi ya Uturuki ya kupunguza shida za Gaza, itaanza.
    Mbunge mmoja wa Uturuki wa chama tawala cha AKP, Burhan Kuzu, alisema makubaliano hayo yatanufaisha Israel kwa sababu kadha.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI