
Mufti Menki amewaasa waislamu kuufuata uislamu kwani uislamu ni dini ambayo haina shaka ndani yake kwani ina kila aina ya mambo ambayo yanamfanya mwanadamu aweze kufikia malengo yake. Amewataka waumini wa kiislamu watambue kwamba duniani wapo katika shule ambayo mwishoni kuna matokeo ambayo mtoaji mkuu na mtangazi wake ni Mola.
No comments:
Post a Comment