• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 29 September 2016

    KAMANDA MPINGA AKISHILIKI MASHINDANO YA BAISKERI GEITA

    gei1
    Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga akizindua mashindano ya baiskeri katika viwanja vya Ccm Karangalala yaliofanyika jana katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama wilaya ya Geita mjini mkoani Geita,(Picha na Trafiki kuu)
    gei2
    Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga akizungumza na washiriki wa mashindano ya baiskeri katika viwanja vya Ccm Karangalala yaliofanyika siku ya jana katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama yaliofanyika katika wilaya ya Geita mjini mkoani Geita, ,(Picha na Trafiki kuu)
    gei3
    Naibu kamishna wa jeshi la polisi na Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga aliepakiwa  na kuonyesha ukaaji salama katika usafiri wa baiskeri unaotumika kama chombo cha usafiri mkoani Geita ndani ya viwanja vya Ccm Karangalala katika siku ya Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama yanayoendelea katika wilaya ya Geita mjini mkoani 

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI