• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 20 September 2016

    KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA KATIKA KITUO CHA MPAKA


    k1
    Msimamizi wa Mamlaka ya Mapato kituo cha Rusumo Bw.Ally Ellyan (katikati) akitoa maelezo ya hali ya kituo hicho kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua wakati wa ziara yake mpakani hapo.
    k2
    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (wa kwanza kushoto) akiwa katika ziara yake mpakani mwa Tanzania na Rwanda (Rusumo) kwa lengo la kufanya Tathimini ya Utekelezaji wa mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara na uwekezaji nchini.
    k3
    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akizungumza na baadhi ya madereva wa malori wakati wa ziara yake katika kituo cha Rusumo Wilayni Ngara Mkoa wa Kagera.
    k4
    Baadhi wa wajumbe wa kikao cha wafanyakazi wa Kituo cha Rusumo wakinukuu hoja kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani) wakati wa ziara yake mpakani hapo.
    k5
    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji alioambatana nao katika ziara yake mpakani mwa Tanzania na Rwanda (Rusumo) mkoani Kagera.
    (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI