• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 29 September 2016

    MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA GEITA


    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni (Mb) akisalimiana na mmoja wa walemavu aliyejitokeza kushiriki katika maadhimisho ya  Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani kitaifa, Mkoa wa Geita.
    masu2
    Mmoja wa watumishi kutoka wizara ya ujenzi,uchukuzi na Mawasiliano akitoa elimu kwa wanafuzi wa shule ya msingi kalangalala walipotembelea banda la wizara hiyo wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama kitaifa mkoani Geita.
    masu3
    Kikosi cha Brass Band kutoka Serengeti Mkoani mara kikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo kitaifa yamefanyika mkoa wa Geita.
    masu4
    Waendesha pikipiki (boda boda) mkoa wa Geita wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama kitaifa.
    masu5
    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni (Mb), (Wa kwanza kulia) akipokea maandamano katika maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani  yaliyofanyika mkoa wa Geita. Wa pili kushoto ni  Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI