nane yanamilikiwa na mfanya biashara Bw Azim Dewji na mangine yanamilikiwa na wafanya biashara inchini Kenya..
kwa taarifa zilizo patikana watekaji ni kikundi cha waasi wa MaiMai. baada ya kuyateka magari hayo,Waliwashusha madereva na kuwapeleka porini na
kisha kuteketeza kwa moto malori manne ambayo yote ni ya Bw.Dewji Waasi hao wametoa saa 24 kuanzia jana saa 10:00 jioni walipwe fedha kiasi cha dola za
kimarekani 4,000 kwa kila dereva ili wachiwe .katika tukio hilo madereva wawili wa tanzania wamefanikiwa kutoroka ndio walio toa taarifaa rasmini kuhusu tukio hilo
serikali kupitia Wizara ya mambo ya ndani na nje na ushirikiano wa Africa Mashariki imesha chukua hatua za awali kuwasiliana na serikali ya
DRC itakikisha madereva hao wanachiwa haraka zaid wakiwa salama... Imeandikwa na z4news blog ya Jamii
No comments:
Post a Comment