• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 27 September 2016

    NHC YAKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA TOFALI KWA VIAJANA BUKOBA

    nhc1
    Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akimkabidhi tofali Afisa Miradi wa Kikundi cha vijana cha Tuinuane cha Bukoba Mjini Christopher Vincent wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali iliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea katika mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera.
    nhc2
    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bi.Susan Omari (kulia) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) wakati wa kukabidhi mashine za kuengenezea matofali ya kisasa kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.     
    nhc4
    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bi.Susan Omari (kulia) akitoa maelezo kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.     
    nhc5
    Baadhi ya mashine zilizotolewa kwa vijana hao

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI