WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega, baada ya kuwasili katika kijiji cha Kipara Mpakani kwa ajili ya kukabidhi eneo la hekali 50 kwa wanakijiji hicho, Mkuranga, mkoani Pwani.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, akisaini kitabu
cha wageni kabla ya mkutano na wanakijiji cha Kipara Mpakani. Kushoto
ni Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega.
cha wageni kabla ya mkutano na wanakijiji cha Kipara Mpakani. Kushoto
ni Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega.
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega, akihutubia wanakijiji cha Kipara
Mpakani kabla Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Maghembe kukabidhi
eneo la hekali 50 kwa kijiji hicho kwa ajili ya huduma za kijamii.
Mpakani kabla Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Maghembe kukabidhi
eneo la hekali 50 kwa kijiji hicho kwa ajili ya huduma za kijamii.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, akihutubia wanakijiji katika mkutano huo kabla ya makabidhiano.
MZEE wa Kijiji cha Kipara Mpakani akimshukuru Waziri wa Maliasili na
Utalii, Profesa Jumanne Maghembe na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega,
kwaniaba ya wanakijiji hicho.
Utalii, Profesa Jumanne Maghembe na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega,
kwaniaba ya wanakijiji hicho.
WANAKIJIJI wakimpengeza Mbunge wao, Ulega baada kufanikiwa kupewa eneo hilo la hekali 50.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) na
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega, wakikata majani kuashiria kukabidhi
rasmi eneo hilo kwa ajili ya huduma za kijamii.
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega, wakikata majani kuashiria kukabidhi
rasmi eneo hilo kwa ajili ya huduma za kijamii.

No comments:
Post a Comment