• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 15 September 2016

    SERIKALI YAANDA KAPENI YA MATEMBEZI HURU



    Wizara ya mambo ya nje ikishirikiana na jumuiya ya Afrika Mashariki wameandaa kampeni za matembezi huru yatakayofanyika jumamosi hii kwa lengo la kuwachangia wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoa wa Kagera.
    Akizungimza na waandishi wa habari jijini msemaji wa wizara hiyo MINDI KASIGA ametaka kuzishirikisha jumuiya za wanadiplomasia ambao wanafanya kazi hapa nchini na wanaoziwakilisha nchi zao kuitumia fursa hiyo kama kiunganishi baina yao na watanzania kwa ujumla.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI