mjini dodoma viongozi wa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi
(UKAWA) jana walijifungia kwa saa kadhaa mjini humo kupanga mikakati ya siri ya namna ya kushiriki bunge hili
ingawa wabunge wa umoja huo wamekuwa wakisusa vikao vya kibunge vinavyoongozwa na
naibu spika dk, tulia ackson z4news inafahamu kwamba wabunge wa umoja huo
watashiriki katika vikao vya mkutano huo habari zilizopatikana jana mjinidodoma
zinaeleza kuwa moja ya masuala yaliyojadiliwa jana ilikuwa hatma ya mvutano baina
yao na naibu spika na kusuka mikakati mipya ya kujiimarisha
tangu mei 30 mwaka huu wabunge wa upinzani wamekuwa wahusika kushiriki vikao vyote
inavyoongoza na kiongozi huyo wa bunge wakidai kutoridhishwa na mwenendo wa uendeshwaji wa
chombo hicho cha kutunga sheria wakati vikao vikiwa chini yake
No comments:
Post a Comment