• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 6 September 2016

    WAZIRI WA UJENZI UCHUKUZI NA MAWASILIANO MH.PROF.MAKAME MBARAWA AIDHINISHA KIVUKO CHA MV.MAGOGONI.


    Mh. prof ; mbarawa ameidhinisha kivuko cha mv.magogoni kufanya kazi ni baada ya kukaa kwa muda mrefu katika matengenezo Image result for prof makame mbarawa

    waziri amesema haya ukarabati wa kivuko cha mv magogoni chenye uwezo wa kubeba tani 500 abiria 2000 na magari 60 mkataba wake ulisainiwa tarehe 27/11/2015 kwa gharama ya sh.1,111,914,000.00 pamoja na VAT kati ya aliyeshinda zabuni hiyo M/s songoro marine transport boatyard wa mwanza mtendaji mkuu wa wakala wa ufundi na umeme (TAMESA) kupitia mkataba na. AE/006/HQ/2015/16/W/CN/08 kwa mda wa miezi mitatu kuanza kukabidhiwa kivuko.Mkandarasi alikabidhiwa kivuko  kwa ajiri ya kuanza kazi ya ukarabati tarehe 04/05/2016 baada ya daraja la nyerere kufunguliwa.
    kazi zote zinahusu kazi za vyuma steel works na umeme zilifanywa na mkandarasi na matengenezo ya injini na mitambo ya kuendesha kivuko propulsion pump jets zilifanywa na mafundi wetu wa tamesa

     Mheshimiwa waziri  aliendelea kusema
    kazi zote zinazohusu mitambo ya kuendesha kivuko yaani injini na pumpjets na jenereta mbili za kufua umeme wa kivuko zilifanywa na mafundi wetu waTAMESA. kazi hizi zilihusu matengenezo ya injili nne kubwa za kuendesha kivuko (main engines overhaul) na jenereta mbili.
    kazi zote zimefanyika vizuri na katika ukaguzi wa pamoja na SUMATRA uliopfanyika terehe 5 septemba,2016 kivuko kimeonekana kinafaa kuanza kazi wakati wanaendelea na taratibu
    za kukipa Hati ya ubora '' sea worthiness certificate
    ''Waziri mbarawa anapenda kuwashukuru wananchi wa kigamboni kwa uvumilivu wa muda wote huo. z4news blogsport.com  

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI