Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Viongozi katika Wizara ya Viongozi katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakiwa katika kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Viongozi katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakiwa katika mkutano wa siku moja unaozungumzia Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 uliofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Waziri wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mhe,Rashid Ali Juma (katikati) akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wakeRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Mshauri wa Waziri wa Habari Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis.
Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Nd,Chande Omar Omar akitoa ufafanuzi kuhusiana na Vipindi vya Redio na TV katika Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC)wakati wa kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kulia) Naibu Katibu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Dkt.Amina Ameir Issa,na (kushoto) Mkurugenzi wa Idara ya Sauti ya Tanzania Zanzibar Nd,Hassan Vuai.
Naibu katibu Mkuu Habari Nd,Hassan Mitawi akitoa maelezo wakati wa kikao cha utekelezaji waMpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd,Omar Hassan Omar (kushoto)
No comments:
Post a Comment