• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 27 October 2016

    FA KUMCHUKULIA HATUA KOCHA WA MAN UNITED,JOSE MOURINHO.

    Kocha Mkuu wa klabu ya Manchester United,Jose Mourinho ameshtakiwa na Shirikisho la Soka la nchini Uingereza FA kwa kudai kuwa itakuwa vigumu kwa mwamuzi Anthony Taylor kusimamia mechi yao dhidi ya majogoo Liverpool.

    index aliongezea kuwa kumteua Taylor kusimamia mechi hiyo ya tarehe 16 Oktoba ilimpatia shinikizo refa huyo mwenye makao yake katika jiji la Manchester.

    Hata hivyo sheria za FA zinaeleza kuwa Makocha wote  hawaruhusiwa kuzungumzia kuhusu marefa kabla ya mechi.

    Mourinho ana hadi Oktoba 31 kujibu shitaka la ukosefu wa nidhamu na kusababisha mechi hiyo kuwa na jina baya na Taylor alito kadi 4 za njano zote kwa timu ya Manchester United katika sare hiyo ya 0-0

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI