Mauzo yamependa kwa 28% kutoka TZS 3 Billioni kufikia TZS 3.8 Billioni.
Idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa zimepanda mara 19 zaid kutoka laki 5 millioni kufikia 9.8 millioni.
Makampuni yanayoongoza kwa idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa ni zifwatazo ;
CRDB............. 95.18%
MKCB............. 2.92%
TBL.............. 0.79%
Ukubwa wa mtaji wa SOKO umepanda kwa 3.53% kutoka 20.8 trillioni hadi 21.56 trillioni
Mtaji wa makampuni ya ndani umepanda kwa asilimia 0.36% kutoka 8.13 trillioni hadi 8.16 trillioni
Sekta ya viwanda (IA) imepanda kwa pointi 26.16 imechangiwa na kupanda kwa bei kwenye counta za TBL kwa 0.76%
Sekta ya huduma za kibenki na kifedha (BI) imeshuka kwa pointi 0.51 imechangiwa nakushuka kwa bei kwenye counta ya DSE kwa 3.13%.
Sekta ya huduma za kibiashara (CS) wiki hii imebaki kama awali baada ya bei za hisa kwenye counta ya swissport kubaki kwenye TZS 3534.64.
No comments:
Post a Comment