• Breaking News

    ..

    ..

    Saturday, 15 October 2016

    MAONESHO YA WIKI YA VIJANA KITAIFA WILAYA YA BARIADI MKOANI SIMIYU

    ci1
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa kazi,Uwezeshaji Wazee,Vijana Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico wakati alipohudhuria katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
    ci2
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali   wakati alipohudhuria katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
    ci3
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali   wakati alipohudhuria katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
    ci4
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiangalia ubunifu wa vifaa mbali mbali uliofanywa na Vijana wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
    ci5
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiangalia bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa na Vijana kutoka Kisiwani Pemba wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
    ci6
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Vijana katika Mabanda ya maonesho ya Mkoa wa Dar es Salaam wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
    ci7
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapongeza  Vijana katika Mabanda ya maonesho ya Mkoa wa Dar es Salaam wanaotengeneza Viatu vya ngozi aina mbali mbali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI