Hii Taarifa (katika picha) inasambazwa mitandaoni kwamba Imetoka IKULU. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ,Gerson Msigwa kasema ni ya uongo, imetengenezwa na watu wenye nia ovu hivyo ipuuzwe
Taarifa hii ipuuzeni
Imetengenezwa na wahalifu. pic.twitter.com/A3N7RcEu7v
No comments:
Post a Comment