PICHA NA Z4NEWS TV
MKuu wa mkoa amesema ziara hiyo inamanufaa kwa watanzania hivyo fursa ambazo zinaibuliwa kutoka na ujio wa viongozi mbalimbali zitumiwe vizuri katika kuleta manufaa
Paul Makonda amesema kua ujio huo wa mfalme wa morocco utakwenda sambamba kusiani baadhi ya mikataba 11 ikiwemo mahusiano reli ya mchuchuma na liganga ,uvuvi ,kilimo,utali,siasa na mahusiano
Rais wa jamhuri wa muungano wa tanzania amekua akifanya kazi zake kwa ajili ya manufaa ya watanzania hivyo kila mtu aitumie vizuri fursa hiyo kwa vitu vitakavyo ibuliwa amesibitisha makonda
Mkuu wa mkoa amesema mfalme wa morocco atazindua jiwe la msingi la ujenzi wa msikiti wa bakwata
Ziara hiyo inatarajiwa kuhitimishwa october 27 na kuondoka nchini saa 10 jioni
Mwandishi wetu Almish Shabani
No comments:
Post a Comment