Michezo

Nyota imeendelea kung’ara kwa mshambuliaji wa zamani wa Ajax na Liverpool na pia ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Uruguay na kwa sasa anachezea klabu ya Barcelona,Luiz Suarez,ametangazwa kuwa mwanasoko bora wa dunia kwenye La Liga.
Amechukua Tuzo hiyo ni kwa ajili ya msimu wa 2015-16 kwa wachezaji wa La Liga na kuwangaragaza wachezaji wengine bora wakiwemo Neymar,Messi na Ronaldo.
Tuzo hiyo hujumuisha mchezaji anayezungumzwa au aliye gumzo zaidi katika sehemu mbalimbali duniani lakini anatokea kwenye La Liga.
No comments:
Post a Comment