Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (GAVU)pia Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao cha robo ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) (kulia) Mshauri wa Rais ushikiano wa Kimataifa,Fedha na Uchumi Ikulu Mhe,Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi Asha Abdalla akisoma vifungu wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Kamishna wa Kazi na Utumishi wa Umma Zanzibar Nd,Kubingwa Mashaka Simba(kuliak.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
No comments:
Post a Comment