
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia wananchi wa kijiji cha Mibure wilaya ya Ruwangwa na Waziri Mkuu alitumia nafasi hiyo kuwataka wanunuzi wa korosho kufuata taratibu za ununuzi wa korosho ili wakulima wafaideke na zao hilo vinginevyo serekali hata sita kutaifisha magari pikipiki zitakazo kamatwa kubeba korosho walizo nunua kwakutumia utaratibu wa Kangomba
Picha na Chris Mfinanga

Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Mibure Mama Majaliwa ameongozana na mumewe katika ziara ya kikazi katika wilaya ya Ruwanga

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mke wake Mary Majaliwa wakibadilishana mawazo wakati wapokuwa katika mkutano wa wa hadhara katika kijiji cha Kitandi wilaya ya Ruwanga Mkoa wa Ruwangwa
Waziri mkuu yupo wilayani Ruwangwa katika Mkoa wa Lindi kwa ziara ya kikaz
No comments:
Post a Comment