• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 10 November 2016

    Bayport yakabidhi madarasa matatu yenye thamani ya shilingi m 200/- kwa kituo cha KCVC.


    Mkuu wa wilaya  ya  Kibaha Mh Asumta Mshama, akishuhudia  uzinduzi  wa   moja  ya  madarasa  ya  kituo cha watoto yatima cha KCVC uliofanywa na mlezi kituo  hicho mama Anna Mkapa na mwenyekitiwabodiya Bayport Tanzania Dkt. Ken Kwaku  hafla  iliyofanyika  kijiji cha Simbani   wilaya  ya Kibaha  mkoa  wa   Pwani

    Watoto  wanaolelewa    katika  kituo cha
    KCVC wakiimba  wimbo    maalumu.

    Afisa  Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga  akiongea na wageni  waalikwa  katika hafla ya  uzinduzi wa  kituo cha KCVC.

    Mlezi kituo  hicho mama Anna Mkapa akitoa hotuba kwa wageni waalikwa 

    Mkuu wa  wilaya  ya  Kibaha  mh Asumta  Mshama
    akiongea na  wageni  waalikwa  katika  hafla ya uzinduzi  wa kituo cha KCVC.

    Viongoziwa Bayport wakiongeana Mama
    Anna Mkapa.
    Viongozi  wa Bayport Tanzania wakiwa  katika  picha  ya  pamojana Mkuu wa  wilaya  ya  Kibaha  Mh  Asumpta  Mshama, Mama Anna Mkapa, mtoto Esther Furaha  pamoja   na  wasimamizi wa kituo cha Kibaha Children’s village centre.
     

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI