Meneja wa masoko jumia alizungumza na wandishi wa habari kua kapeni hiyo itasaidia kupunguza gharama mbalimbali pia kupunguza foleni madukani pia inawaletea watumiajia wa mtandao huo wanaweza kuagiza mizigo kutoka popote dunia mzingo utakufikia watakati sahihi ata wale wanaoishi mikoani pia mizingo yao wataipa kwa wakani alisema
"kampeni hii imeleta unafuu wakila njia kwa watumiaji wa njia ya jumia kua haina usumbufu unapo hitaji bidha unaweza kutumia njia hii kupitia kwenye smart phonr yako hau kama sio mtumiaji wa smart phone unaweza kupiga simu ofisini kwa msaada wa upatikanaji wa bidha mbali mbali"asilema
Hata hivyo meneja huyo amewataka watanzania kuchangamkia fursa hiyo itakayo waletea urasi katika upatikanaji wa bidhaa kama nchi za mbali mbali wanatumia njia hiyo kama uganda kenya marekani uingereza na nchi nyinginezo pia jumia ilipata fursa ya kufanya vizuri sehemu hizo
No comments:
Post a Comment