• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 15 November 2016

    MKUTANO WA WANAHISA WA TADB WAFANYIKA

    sai1
    Msajili wa Hazina, Bw. Lawrence N. Mafuru (Kulia aliyeinama) akisaini Kitabu cha Wageni wakati alipowasili kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Wanaomtazama ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rosebuld V. Kurwijila (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga (Kushoto).
    sai2
    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rosebuld V. Kurwijila (Kushoto) akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo.
    sai3
    Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Neema C. John (Kushoto) akisoma agenda za Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga.
    sai4
    Msajili wa Hazina, Bw. Lawrence N. Mafuru (Wapili Kulia) akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo.
    sai5
    Baadhi ya viongozi waandamizi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakifuatilia Mkutano huo.
    sai6
    sai7
    Mmoja wa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bw. Migangala S. Milenge (Katikati) akichangia mada wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo. Wengine pichani ni wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo.
    sai8
    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rosebuld V. Kurwijila (Kulia) akifafaua hoja mbalimbali wakati wa Mkutano huo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga.
    sai9
    Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADB wakifuatilia Mkutano huo.
    sai10
    Washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa Hazina, Bw. Lawrence N. Mafuru (Katikati waliokaa) mara baada ya kumalizia Mkutano huo

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI