• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 3 November 2016

    MKUU WA MKOA AWATAKA WALIMMU WA SAYANSI WAJITOKEZE

    Z4NEWS BLOG
    MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amezitaka taasisi za elimu nchini kuweka mkazo kwa wanafunzi wanaowafundisha Kuweza kujua masomo ya sanyansi ilikuweza kukuza sekta yaviwanda nakuweza kuiwezesha Tanzania kuwa nchi ya uchumi wakati .

    Akizunguza katika hafla yakukabidhi madawati katika shule ya Al-Mutazir jijini Dar es salaam Makonda amesema kuwa ili nchi yoyote iweze kukua katika sekta yaviwanda nilazima iwekeze katika masomo ya sayansi .

    ''ili nchi iwe nauchumi imara lazima jitahada za kuwekeza katika masomo yasayansi iwe imara ,kwani masomo haya yasayansi ndio asilimia kubwa ya uchumi wa nchi nyingi duniani''Alisema Mkuu wa Mkoa Paul Makonda .

    KATIKA hatua nyingine Mkuu wamkoa ameweza kupokea madawati katika shulehiyo yenye thamani yamilioni miambili kutoka kwa mfanyabiashara maarufu azimu Dewij ilkuweza kuondokana na tatizo la uhaba wamadawati unaozikabili shulenyingi za mkoa wa Dar es salaam.
    ........................
    Mkuu wa shule hiyo intial Haji amesema kuwa shule hiyo inaitaka serikali kuhakikisha shule zote za jijini Dar es salaam kutokaa nchini nabadala yake serikali kuweka juhudi za wanafunzi wamkoa huo wanapata madawati .
    Haji amesema kuwa Historia inaonesha kuwa shulehiyo imekuwa mstari wambele katika sekta ya elimu hadi sasa shule inawanafunzi ..50000

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI