• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 4 November 2016

    OFISI YA MTAKWIMU MKUU YATOA TAARIFA YA MFUMKO WA BEI ZANZIBAR.


    -Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Mfumuko wa bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mwanakwerekwe Zanzibar wakifuatilia maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha bei Khamis Ahmada Shauri.
    t2
    t1Mkuu wa Kitengo cha Bei Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Khamis Ahmada Shauri akielezea kuhusu Mfumuko wa Bei kutoka Sept 2016 ambapo ulifika asilimia 4.0 na kufikia asilimia 4.1 Oct 2016.
    t3
    t2Meneja Msaidizi Idara ya Uchumi Benki Kuu Tawi la Zanzibar Evarist Mgangaluma akifafanua jambo kuhusiana na Mfumuko wa Bei kutoka Sept 2016 ambapo ulifika asilimia 4.0 na kufikia asilimia 4.1 Oct 2016.
    t4
    t3Mwandishi  kutoka ITV Farouk Karim akiuliza maswali katika mkutano wa kuelezea Mfumuko wa Bei kutoka Sept 2016 ambapo ulifika asilimia 4.0 na kufikia asilimia 4.1 Oct 2016.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI