• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 16 November 2016

    PROF. MBARAWA AZINDUA BODI MPYA YA TRL


    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Bodi mpya ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) aliyoizindua leo jijini Dar es Salaam. Wa pili  kulia  ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof. John Kondoro.
    trl2
    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa bodi ya TRL, Profesa John Kondoro alipozindua bodi hiyo jijini Dar es Salaam leo .
    trl3
    Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa akimwonyesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, moja ya mabehewa yaliyokarabatiwa na Kampuni hiyo alipotembelea karakana ya reli jijini Dar es Salaam.
    trl4
    Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na wafanyakazi wa kampuni hiyo  jijini Dar es Salaam.
    trl5
    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa wafayakazi wa TRL alipoongea nao jijini Dar es Salaam.  Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa.Kulia ni Mwenyekiti ya Bodi ya TRL, Prof. John Kondoro.
    trl6
    Wafanyakazi wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ( hayupo pichani), alipoongea nao leo mchana jijiini Dar es Salaam

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI