• Breaking News

    ..

    ..

    Saturday, 19 November 2016

    RAIS DK. SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA KIBIASHARA BAINA YA TANZANIA NA COMORO LEO ZANZIBAR

    ngam1
    ngam1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipowasili  kufungua Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    ngam2
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud pamoja na Viongozi mbali mbali alipowasili  kufungua Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    ngam3
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe,Mohamed Bacar Dossar (katikati) wakisimama pamoja na Viongozi wengine wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Comoro ukipigwa  wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya  Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    ngam4
    Baadhi ya Wafanyabiashara wa Visiwa vya Comoro wakisimama ulipopigwa Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Comoro katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya  Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    ngam5
    Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipokuwa akitoa maelezo katika Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne katikati), [Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    ngam6
    Baadhi ya Viongozi na Maafisa mbali mbali wa taasisi za Serikali na Binafsi wakikwa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya  Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    ngam7
    Baadhi ya Viongozi na Maafisa mbali mbali wa taasisi za Serikali na Binafsi wakiwa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya  Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    ngam8
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya  Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    ngam9
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya  Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    ngam10
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya  Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    zama3
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Visiwa vya Comoro Mhe,Mohamed Bacar  Dossar wakati wa ufunguzi wa  Kongamano la pili la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
    zama1
      Waziri wa Mambo ya Nje wa Visiwa vya Comoro Mhe,Mohamed Bacar  Dossar  alipotoa maelezo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la pili la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati),[Picha na Ikulu.] 19/11/2016. zama4
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipotembelea maonesho ya Wafanyabiashara mbali mbali baada ya kulifungua Kongamano la siku moja kuhusu Biashara baina ya Tanzania na Comoro katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI