• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 4 November 2016

    RC NDIKILO ATEMBELEA HIFADHI YA UZIGUA

    1
    Mkuu wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo akitembelea hifadhi ya msitu wa Uzigua akiwa ameambatana na kamanda wa polisi mkoani Pwani Boniventure Mushongi, mkuu wa wilaya ya Bagamoyo alhaj Majid   Mwanga na viongozi wengine kutoka mkoa,wilaya na wakala wa misitu (TFS)kanda ya Mashariki
    2 3 4
    2Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza jambo wakati ilipokwenda kutembelea hifadhi ya msitu wa Uzigua na kutoa agizo kwa waliwavamia waondoke Mara moja.5

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI