• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 7 November 2016

    SPIKA WA BUNGE, NAIBU SPIKA WAKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA


    duga1Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke aliyemtembelea mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Pamoja na mambo mengine waliyozungumza Balozi huyo alimpa Mhe Spika pole kufuatia Kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la Tisa Marehemu Samwel Sitta .
    duga2
    duga2Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai  (kushoto) akimsikiliza  Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke  wakati akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
    duga3
    Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai  jambo  Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke aliyemtembelea mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
    duga4
    duga3  Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Balozi  Uingereza nchini Sarah Cooke aliyemtembelea mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
    duga5
    duga4Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akimsikiliza  Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke  wakati akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
    duga6
    duga5Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiongoza  cha Kamati ya Uongozi kilichokutana kwa dharura kujadili kuhusu hoja ya kuahirisha Bunge kufuatia kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la Tisa Marehemu Samwel Sitta ambapo Kikao hicho kiliridhia Bunge liahirishwe ili Waheshimiwa Wabunge wapate  wa kuomboleza kufuatia Msiba huo.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI