• Breaking News

    ..

    ..

    Sunday, 20 November 2016

    TUHUMA MZITO WATUMISHI WA ZAHANATI YA KIBADA WILAYANI KIGMBONI

    Wananchi wa wakibada wapata fursa ya kufikisha kero zao kwa mkuu wa  mkoa wa dar es salaam jana kipindi RC Makonda akiwakwenye ziara ya kuongea na wanchi wa jiji la dar es salaam ili kujua kero zao ili zipatiwe ufumbuzi11

    wanawanchi hao walipata fursa mzito kuelezea matatizo mazito yanayo wakabili haya kwa upande wa wahudumu wa zahati ndio wanoa leta changamoto mzito kwa wanchi hao kipindi wanapokwenda kujifungua .
    10
    Siwazuri Abdalah  alilifikisha kero yake mbele ya mkuu wa mkoa kwa hisia mzito kutokana na mataizo wanayo yapata kipindi cha kwenda kujifungaua  kua wahudumu wa zahanati hiyo kuto wajali wangojwa atimae badhi kujifungulia barazani .

    "mkuu wa mkoa wanawake tunapata tabu  tunaomba utusaidie  haya mateso ni ya muda mrefu manesi wanatufanyia vibaya hawatujali kwa lolote inapelekea muda mwengine tunajifungulia njee hata upande wa matibabu ya kawaida nimatatizo makubwa tunandikwa sindano lakini tukienda muda mwengine madaktar hatuwakuti  hospital inakua imesha fungwa "alisema Siwazuri Abdalah .

    RC Makonda alishangaazwa na tuhuma mzito waanzo pewa mahudumu wa hospitali hiyo alimtaka mkurungezi wa manispa ya kigamboni kuwaajibisha haraka iwekanavyo ili wanchi wapate matibabu kwa haraka

    "Mkurungezi wa kigamboni ili ni tatizo zito wanalo fanya watndaji wako wa hospitali hii ya kibada naomba uliafuatie ili jambo ikiwezekana kuwajibisha maar moja haiwezekani mnakula pesa za serikali halafu hamfanyi kazi ipasavyo kurungezi naomba uajibishe watendaji hoa"alisema RC Makonda

    kwa upande wa mwengine mkuu wa mkoa aliahidi wanchi kua tatizo ilo litakwisha ndani ya muda mchache ujao wanapaswa kua wavumilia ila haya madudu yatakikishwa yana yaondolewa araka iwekanavyo.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI