• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday 29 November 2016

    WANANCHI WATAKIWA KUJIKITA KATIKA MAENDELEO BADALA YA KUENDEKEZA SIASA.

    : Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akizungumza mara baada ya kutembelea eneo la kukagulia mizgo katika Bandari ya Dar es Salaam iliyopo chini ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) alipokuwa akihitimisha ziara yake ya siku mbili leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Mhandisi Deusdedit Conatus Vitalis Kakoko.
    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit Conatus Vitalis Kakoko akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu (kulia) alipotemdelea Bandari hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
    Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk akimwelekeza Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu, namna kampuni yao inavyofanya kazi ya kutoa makontena wakati wa ziara ya Rais huyo katika Bandari ya Dar es Salaam leo.
    Pichani  mtambo wa kutolea Kontena Bandarini unaomilikiwa na Kampuni ya Tanzania International Services Ltd (TICS).
    : Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akionyesha zawadi aliyopewa na uongozi wa Bandari kavu ya Zambia Cargo and Logistics alipotembelea Ofisi zao za Jijini Dar es Salaam leo.Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zambia Cargo and Logistics David Chimfwembe.
    Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu(katika) akimsikiliza kwa makini Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zambia Cargo and Logistics David Chabwa Chimfwembe.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Serikali ya Tanzania Balozi Dkt. Augustine Mahiga.
    Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu(katika) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI