• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 3 November 2016

    WIZARA YA ARDHI WATOA SOMO JUU YA KUFANYA TATHMINI KABLA YA FIDIA


    Kaimu Mthamini Mkuu wa Ardhi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi. Evelyne Mugasha(katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua zinazopitia kabla ya utoaji wa fidia ya ardhi leo Jijini Dares Salaam.Kutoka kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara hiyo Bibi. Mboza Lwandiko na Mthamini wa Mwandamizi Bw. Juma S. Jungu.
    j2
    Mthamini wa Ardhi Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Juma S. Jungu akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari(hawapo pichani) walipokuwa wanatoa ufafanuzi wa namna hatua za kutathmini aradhi zinavyofanya leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaadizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Tiganya Vicent.
    j3
    Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wao na wataalam kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari, MAELEZO leo Jijini Dar es Salaam

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI