Habari
Pichani Sanamu ya Askari ikiwa imezungushiwa mapambo ikiwa ni siku nane (8) kabla ya kufikia kilele cha Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara itakayofanyika tarehe 09/12/2016 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni; “Tuunge Mkono Jitihada za Kupingaji Rushwa, Ufisadi na Kuimarisha Uchumi wa Viwanda kwa Maendeleo Yetu”. (PICHA NA: FRANK SHIJA - MAELEZO)
No comments:
Post a Comment