• Breaking News

    ..

    ..

    Sunday, 18 December 2016

    Picha 4 za Mwanamuziki Darassa Baada ya Kupata Ajali Kahama

    Mwanamuziki Darassa ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Muziki jana alipata ajali akiwa na Mtayarishaji wa video Hanscana walipokuwa njiani wakirejea Dar es Salaam kutoka Kahama.

    Ajali hiyo inaelezwa kuwa ilitokea eneo la Ntobo barabara ya kuelekea mgodi wa Bullyanhulu, Wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga.

    Taarifa kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa hakuna aliefariki dunia



    Advertisement

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI