• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 27 December 2016

    Rais Dk.Shein akutana na Balozi Mdogo wa Oman


    dkg
     Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake  Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi,  alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo.
    dkg-1 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na   Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake  Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi,  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha.
    dkg-2
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akibadilishana mawazo na  Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake  Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi,  baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]27/12

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI