• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 23 December 2016

    Waziri wa Habari, Utamaduni na michezo ateua wajumbe wa Bodi ya Shirika la Utangazaji ZBC

    Image result for zanzibar city Waziri wa Habari Utalii, Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC)


    Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Wizara hiyo Ameir Abdallah Ameir imesema walioteuliwa ni pamoja na Hassan Ali Hassan na Kombo Shaame Kai.

    Wengine ni Aziza Saleh Mohammed, Ramadhan Omar Mohamed na Nassor Rajab Dachi.

    Taarifa hiyo imefahamisha kuwa uteuzi wa Wajumbe hao umeanza Disemba 23, 2016.

    IMETOLEWA NA HABARI MAELEZO ZANZIBAR

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI