Kuanzia mechi ya kwanza hadi ya mwisho ya fainali utaweza kuziona live kupitia ZBC2 ambapo utaweza kuangalia mechi zote za AFCON 2017.
ZBC 2 ni channel ambayo unaweza kuangalia mechi zote za AFCON kuanzia mwanzo hadi mwisho. Tunaanza Leo hadi pale mwisho wa michuano hii itakapofikia.
Kwa haraka na urahisi zaidi nakushauri uangalia ZBC 2 kupitia king’amuzi cha Azam Tv. ZBC wamepewa uwezo wa kuonyesha michuano hii na wao wanapatikana kwenye ving’amuzi tofauti kikimo Azam Tv.
No comments:
Post a Comment