![]() |
Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi akizungumza na wakazi wa kijichi katika kampeni za udiwani akimnadi Mama Tausi Milazi |
![]() |
Mgombea udiwani kata ya kijichi Mama Tausi Milanzi akiongea na wananchi kata ya hiyo....................................................... |
CHAGUENI VIONGOZI WATAKAOWASAIDIA; Katibu wa uenezi wa chama cha CCM Afrey Polepole aliyazungumza katika kampeni za mwisho za uchaguzi mdogo ngazi ya Diwani kata ya kijichi jijini Dar es salaam ambapo Mama Milanzi ndiye mgombea kupitia chama hicho.
Katibu wa uenezi amesema lengo kuu la chama ni kuwatoa watu katika umaskini na kutatua shida mbalimbali kwakuwa uongozi na jopo zima la CCM linahofu na Mungu.
Ametoa misimamo yake mbalimbali haswa kwa viongozi wa siasa wanao tumia majukwa vibaya katika uchaguzi mkuu, pamoja na yote amewataka viongozi wa chama hicho kuacha maneno na kufanya kilicho wafanya waombe kura.
Asilimia 70 vitendo na asilimia 30 ndio maneno kwa ajiri ya kuwajulisha watu mambo mbalimbali, katika kampeni hiyo Afrey Polepoe ameomba na kuwashauri wakazi hao kushiriki uchaguzi kwa pamoja ili kujenga taifa
No comments:
Post a Comment